FAMILIA YA  MAREHEMU MCHUNGAJI MWAKIPUNDA WA NGAMANGA IPINDA KYELA WANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHAMZEE NSUBISI SAMUEL MWAKIPUNDA ( MKURUGENZI WA ZAMANI WA IDARA YA MAELEZO)  KILICHOTOKEA SIKU YA JUMATANO TAREHE 24/10/2012.

MIPANGO YA MAZISHI INAFANYIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU PUGU KINYEMWEZI DAR ES SALAAM.
HABARI ZIWAFIKIE NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI POPOTE PALE WALIPO.

KWA MAWASILIANO ZAIDI
BWANA AMETOA BWANA, AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE”
AMEN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Sijukua Nsubisi Mwakipunda alifariki. Tuliwahi kufanya kazi pamoja. Mungu ailaze rohe yake mahali pema peponi.

    Michuzi, ningependa sana ku kopi picha yake. Nimejaribu bila mafanikio. Unaweza kuondoa block kwenye ukurasa huu ili ni kopi picha hiyo? Nilifanikiwa ku kopi picha ya Juma Penza uliyoiweka kwenye blogu yako.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...