Mgeni rasmi ambaye ni Mratibu wa Tiba wa Manispaa ya Kinondoni, Sirila Mwanisi akizungumza katika maadhimisha ya Siku ya Kunawa mikono katika viwanja vya Posta, Kijitonyama, inayofanyika Oktoba 15, huku kwa wanafunzi hao wakiadhimisha jana katika viwanja hivyo.
Mwanafunzi wa shule ya Mwenge akimuonyesha mwalimu wake (aliyeshika jagi) namna alivyofundishwa kunawa mikono.
Mwanafunzi akiwathibitishia somo limeingia waalimu wake ambao wao walichukua jukumu la kuwamwagilia maji.
Walimu wakuwa na baadhi na wanafunzi wa shule nne za msingi zilizohudhuria maadhimisho hayo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kumbe ni kibiashara zaidi,nilikua nashangaa kunawa mikono?sawa ila kama kweli wanadhamiria kutoa elimu ya afya kwa watoto wa shule nadhani njia bora na yenye nguvu ni kurudisha somo la sayansikimu mashuleni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...