Kijana ambaye jina lake halikufakamika mara moja akiwa amebeba lumbesa ya Makopo ya Maji ya Plastiki yaliyokwisha tumika,tayari kwa kwenda kuyapima na kuyauza kwa wahusika.Biashara hii ya Makopo ya Maji yaliyotumika imekuwwa ikipunguza kwa kiasi kikubwa sana hali ya Uchafuzi wa Mazingira katika maeneo mbali mbali ya Jiji letu,kwani hata ukitupa hovyo,basi jua kuna mtu atapita kuchukua muda mchache tu ujao.
Home
Unlabelled
Biashara ya Makopo ya Maji yaliyotumika yashika kasi jijini Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




Hapo zamani nakumbuka kuwa watu waliokuwa wanaokota makopo tuliwaita machizi, wamerukwa na akili, vichaa, n.k!
ReplyDeleteMiaka ya leo kazi hiyo hiyo ni bonge la ajira!!
Ama kweli dunai inabadirika!
Hii biashara ni ktk moja ya sekta muhimu za ajira na uwekezaji nchini Tanzania!
ReplyDeleteAnkali tulikwisha elewana kwa picha kama hizi:
ReplyDelete1.Yule jamaa aliyekuwa anakokota baiskeli akiwa miguu peku peku kwenye mlima akiwa na gunia 2 za mkaa tulipatana uandike ya kuwa yupo mbali na mji huko Kijijini ingawa inaonekana barabara ya Lami ni kuwa maendeleo sasa Bongo yamefikia lami hadi Vijijini!.
2.Hii hapa jamaa akiokota chupa za maji tuseme yeye yupo Mjini na kuwa (hafanyi Kazi Ajira) au (Bishara ya Kuuza chupa tupu) ila yeye ni Wananchi wa kawaida ameamua kujitolea kusafisha mazingira!.
Hii ni kujenga ili wandugu zetu Majuu wasije wakapata hofu ya kuwa labda Bongo sio Tambarale kuna shida hivyo wasije wakakataa kurudi!!!
Ahhh wapi!
ReplyDeleteHuyo ni Pusha Alwatani sana maeneo ya Jangwani Mabondeni kule chini Klabu ya Yanga anaitwa 'Kijiti cha Mboka' Msela wa Tabora.
Jamaa anazuga tu kujifanya anafaynya kazi ya kuokota chupa tupu huku akiwa Pusha, ili kuwakwepa Ulinzi Shirikishi na Maafisa wa Serikali ya Mtaa.
Kwao ni Tabora na 'mizigo' anatumiwa na Babu yake kutoka huko (Mboka) yaani mkoani Isevya-Tabora!!!
Ahhh wapi!
ReplyDeleteHuyo ni Pusha Alwatani sana maeneo ya Jangwani Mabondeni kule chini Klabu ya Yanga anaitwa 'Kijiti cha Mboka' Msela wa Tabora.
Jamaa anazuga tu kujifnya anafaynya kazi ya kuokota chupa tupu huku akiwa Pusha, ili kuwakwepa Ulinzi Shirikishi na Maafisa wa Serikali ya Mtaa.
Kwao ni Isevya-Tabora na 'mizigo' anatumiwa na Babu yake kutoka huko (Mboka) yaani Tabora!!!
Ohooo maisha ama kweli changamoto Mjini ndio kama hivi kula kwa tindo, Vijijini ndio hivyo tena mara kiangazi mara njaa!
ReplyDelete