Daudi Mwasambili, leo Jumapili 11/11/2012,na Jane Mwasambili wamemeremeta katika kanisa kuu la Kiluteri. Mnuso ulikuwa Landmark Hotel Tukuyu- hoteli dada na Landmark ya mbwani (Dar).Daudi ni kijana mpendwa mjasiriamali anaefanya biashara ya usafirishaji wa watu na bidhaa.
Maharusi wakifungua dansi
Furaha ya harusi
Hongereni maharusi, "best woman" kama vile anamkaripia "best man" sijui alimsogelea kwa saaana,
ReplyDelete