Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii D Seif Suleiman Rashid (kushoto)
akikaribishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Dk Emmanuel Humba wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa Kituo Uchunguzi na Matibabu katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma. Kituo hicho kinajengwa na Mfuko huo
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Hussein Mwinyi akionyeshwa ujenzi unavyoendelea wa Kituo cha Uchunguzi na Matibu cha Hospitali yaMkoa wa Dodoma na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Suleimani Rashid (katikati) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kabla ya Waziri wa Wizara hiyo kufika katika ukaguzi wa ujenzi wa Kituo cha Uchunguzi na Matibabu katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma
Mkurugenzi wa Fedha na Uwekezaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Deusdedit Rutazaa akitoa taarifa ya Fedha ya kuhusu mradi wa ujenzi unaoendelea wa Kituo cha Uchunguzi na Matibabu cha Hospitali ya Mkoa wa Dodoma
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussein Mwinyi akizungumza muda mfupi baada ya kutembelea na kukagua ujenzi wa Kituo cha Uchunguzi na Matibabu cha Hospitali ya Mkoa wa Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya,Ntukamazina
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Hussein Mwinyi(katikati) akitoka kukagua ujenzi wa Kituo cha Kisasa cha Uchunguzi na Matibabu kinachojengwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya eneo la Chuo Kikuu cha Cha Dodoma
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...