Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Bw.Vuai Mwinyi Mohamed,kuwa
Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja,Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akitia saini hati ya kiapo baada ya kumuapisha
Bw.Vuai Mwinyi Mohamed,kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja,hafla
imefanyika leo,Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi hati ya kiapo Bw.Vuai
Mwinyi Mohamed,baada ya kumuapisha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kati
Unguja,katika hafla imeyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja katika ukumbi wa
Ikulu Mjini Zanzibar, Bw,Vuai Mwinyi Mohamed, akipitika hati ya kiapo
kabla ya kuapishwa rasmi na kuanza kazi aliyopewa na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika hafla
imeyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar,Pandu Ameir
Kificho,(kushoto) Mshauri wa Rais Kilimo,Buruhani Saadat Haji,(kati)
na Naibu Katibu Mkuu Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Wazanzibar
wanaoishi Nje ya Nchi,Saidi Natepe,wakiwa katika hafla ya kuapishwa
Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar.
Jaji Mkuu wa Zanzibar,Bw. Omar Othman Makungu,(kulia)
na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji,wakiwa ni miongoni mwa
Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Mkuu wa Wilaya ya
Kati Unguja Bw,Vuai Mwinyi Mohamed,leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman Ikulu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...