Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Rais wa Vietnam Truong Tan Sang,alipofika Ikulu ya Nchi hiyo akiwa na ujumbe wake katika ziara rasmi ya kiserikali ya kuimarisha uhusiano na ushirikiano baina ya pande mbili hizi. Picha na Ramadhan Othman.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Uhusiano wa pande mbili, mwisho wa kunukuu.

    Kweli kiswahili lugha tamu unaweza kutumia maneno laini ili masuala ya nchi hizi mbili yasizue maswali mengi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...