Mbunge wa Hai ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mhe. Freeman Mbowe akihutubia wakati wa sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa Barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani Hai mkoa wa Kilimanjaro Jumatano ya Oktoba 31, 2012
Home
Unlabelled
Freeman Mbowe amfagilia JK kwa juhudi za kuendeleza miundombinu nchini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


nini Mbowe, duh Magufuli NOMAAAAAAH kamaliza kila kitu!!!!!!mawaziri wa 5 tu ktk kabinet wangepatikana Tz ingekuwa mbali mnoooo. Nimezidi kumpenda ghafla, kandarasi wazalendo ila si wazalendo wababaishaji tu huyo Mrema kamchana live ungawa si mahala pake angemuita kiofisi unless walishamuonya kiofisi.
ReplyDeleteNa Chadema wajifunze penye ukweli waache unafiki tusifie pa kusifia kama mh. Mbowe sio kila kitu kuponda tu hata penye ukweli. TANZANIA 1, TANZANIA OYEEE
furaha niliyoipata hata sijui nianzie wapi.wote wangekua kama magufuli tungekua mbali sana.
ReplyDeleteHuyu Mbowe ni mwanasiasa - wanacheza ma maneno as appropriate. Nimevutiwa zaidi na Magufuri kama mtendaji
ReplyDeleteHivi huyu si aligoma kwenda kumuapishaJK? Siasa kweli unafiki. Kuna watu ambao hawaongei kisa u CCM au U CHADEMA wakati huo huo wanajiita great thinkers.. Please!
ReplyDelete