Mbunge wa Hai ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mhe. Freeman Mbowe akihutubia wakati wa sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa Barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani Hai mkoa wa Kilimanjaro Jumatano ya Oktoba 31, 2012

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. nini Mbowe, duh Magufuli NOMAAAAAAH kamaliza kila kitu!!!!!!mawaziri wa 5 tu ktk kabinet wangepatikana Tz ingekuwa mbali mnoooo. Nimezidi kumpenda ghafla, kandarasi wazalendo ila si wazalendo wababaishaji tu huyo Mrema kamchana live ungawa si mahala pake angemuita kiofisi unless walishamuonya kiofisi.
    Na Chadema wajifunze penye ukweli waache unafiki tusifie pa kusifia kama mh. Mbowe sio kila kitu kuponda tu hata penye ukweli. TANZANIA 1, TANZANIA OYEEE

    ReplyDelete
  2. furaha niliyoipata hata sijui nianzie wapi.wote wangekua kama magufuli tungekua mbali sana.

    ReplyDelete
  3. Huyu Mbowe ni mwanasiasa - wanacheza ma maneno as appropriate. Nimevutiwa zaidi na Magufuri kama mtendaji

    ReplyDelete
  4. Hivi huyu si aligoma kwenda kumuapishaJK? Siasa kweli unafiki. Kuna watu ambao hawaongei kisa u CCM au U CHADEMA wakati huo huo wanajiita great thinkers.. Please!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...