
Rais Jakaya Kikwete akinyanyua juu mfano wa hundi yenye thamani ya Sh8 bilioni aliyokabidhiwa na Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza wa tatu toka kusho zilizochangwa na kundi la kampuni ya Vodafone na Vodacom Tanzania kusaidia mradi wa fistula Tanzania ikiwemo ujenzi wa Hospitali ya huduma ya Afya ya uzazi ya Baobab chini ya CCBRT Hospital,jijini Dar es Salaam. Chini Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza akisema machache wakati wa makabidhiano ya mfano wa hundi yenye thamani ya Sh8 bilioni aliyoikabidhi rasmi kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete fedha hizo zilizochangwa na kundi la kampuni ya Vodafone na Vodacom Tanzania kusaidia mradi wa fistula Tanzania ikiwemo ujenzi wa Hospital ya huduma ya Afya ya uzazi ya Baobab chini ya CCBRT Hospital,jijini Dar es Salaam.
Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA
Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...