Leo Ankal anamkumbuka Anita Ward na kibao cha "Ring my Bell" kilichotamba sana enzi hizo, hasa kwenye picnic za shule na vikundi mbalimbali vya vijana. Anakumbuka kikundi cha Kimamba Fresh cha Magomeni Mwembechai ambapo kina Chindakta, Ben Mwakatundu, Skina Martin na wengineo walikuwa kila mwaka wakikusanyika Msasani Beach (ilipo Msasani Club ya sasa) kwa picnic. Hapo ilikuwa ni kucheza kwa mistari kufuata midundo. Wenye data ya picnic hizo kazi kwenu...
Home
Unlabelled
Ngoma azipendazo Ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...