Timu ya kandanda ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars,  ikiwasili Katika Uwanja wa Ndege wa Entebe nchini Uganda  tayari kwa mashindano ya CECAFA Senior Challenge yanayotarajiwa kutimua kivumbi kuanzia leo katika uwanja wa Mandela jijini Kampala

 Wachezaji wapo fiti

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ivi haya maumbo yetu jinsi yalivyo madogo hivi,maana unapomtazama mchezaji wa timu ya taifa kaumbo kadogooo,kaazi kweli kweli haya japo umbile si kigezo ila ni advantage wakati fulani.

    ReplyDelete
  2. Maumbo yetu baadhi ya Watanzania ni makubwa na ya shibe ila inaonekana wenye maumbo madogo na wafupi wanajua kujitutumua kama Kaseja.

    Tatizo ndilo hilo kwa klabu kuchagua wachezaji kwa vigezo vya kujitutumua na siyo kwa vigezo vya kuwa na timu bora iliyosheheni wachezaji kila idara na kuleta ushindi.

    ReplyDelete
  3. Mdau hapo juu ,unamjua Mesi ?au wachezaji wa Germany kama Reuss ambaye ni super star anachezea club ya Borussia Dortmund na wengineo kibao ,hivyo umbo sio kigezo cha kuchezea timu ya taifa.Big up ,mdau ughaibuni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...