MAREHEMU MAMA EDNA LIGATE SANDE
1945 - 2003
Leo ni miaka tisa (9) tangu ulipotwaliwa na mungu mama yetu tarehe 30 novemba, 2003. ni kama ndoto bado lakini tunamshukuru sana mungu kwa ajili yako mama yetu, yote ni mapenzi yake.
Familia ya Mzee Adam Ligate Sande wa Forest Mbeya pamoja na watoto wako Osward, Liz, Jerry, Tabitha, Patricia na Mwapi tunakukumbuka mno kwa malezi mazuri na mafunzo uliyotupatia.
Tunakukumbuka Upendo wako wa dhati, Ucheshi wako, Ukarimu wako na mengine mengi ambayo ulituachia hasa upendo.
Unakumbukwa pia na wakwe na wajukuu zako majirani zako na ndugu kwa ujumla.
JOSHUA 1:9
MUNGU AZIDI KUKUPA PUMZIKO LA MILELE
Ndugu yangu Osward
ReplyDeleteMimi sikuwa nafahamu kuwa Mama yetu alitwaliwa, asante kutujuza na sisi lakini tumkumbuke Mama kama Mwalimu mwema sana wale ambao tulipita kwenye mikono yake, tunamshukuru Mungu sana kwa kumpa uhai na kuwa miongoni mwetu.
Asante
George William
Ex-Mbalizi Road Primary School Pupil
Na mwenyezi Mungu aendelee kumpatia pumziko la Amani.
ReplyDeleteR.I.P Mama Mkubwa still remember your smile
ReplyDelete