Ni msimu wa Nondozzzz na safari hii ni Mdau Saphia Rashard baada ya kulamba Nondozzz yake ya boashara kwenye mahafali yaliyofanyika ndani ya viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam  siku ya Jumamosi.
 Bi Saphia akiwa na my hazbendi wake mdau Mohammed Mbilili.
 Bi Saphia akiwa na maswahiba ndani ya red carpet.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongera sana Bi. Sophia kwa Shahada !

    Tunahitaji mchango wako kwa elimu uliyoipata.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...