Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Jamani lugha inaonekana kuwapiga chenga sana hapo TFF; hii nadhani Tenga hakuiona. STANDING VODACOM PREMIER LEAGUE ilitakiwa iwe VODACOM PREMIER LEAGUE STANDINGS na pale chini ilitakiwa iwe AS OF badala ya AS FOR

    ReplyDelete
  2. Mdau hapo juu, hata tarehe baada ya "AS FOR" nayo wamekosea...yaani!

    ReplyDelete
  3. Asante TFF na blog ya jamii kwa taarifa.Taarifa/takwimu muhimu sana hizi kwa sisi wadau wa mpira wa miguu.Ligi ya mwaka huu inaonekana ni ngumu na yenye ushindani sana.Nimependa hivi vilabu vidogo vinavyozibana hizi timu kubwa(?)SIMBA na YANGA.Week-end njema wote

    David V

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...