Leo Jumamosi, Novemba 3, 2012, kuanzia saa 3:00 asubuhi, Tume ya Mabadiliko ya Katiba Tanzania itafanya mkutano katika Ukumbi wa Pius Msekwa, Dodoma ili kukusanya maoni ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu Katiba Mpya. Mkutano utaongozwa na Mwenyekiti wa Tume, Jaji Jospeh Warioba.
Toa Maoni, Tupate Katiba Mpya.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...