Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb.), akisaini Kitabu cha Wageni  alipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini India. Anayeshuhudia pembeni ni Mhe. John Kijazi, Balozi wa Tanzania nchini humo. Mhe. Maalim yupo nchini India kuhudhuria Mkutano wa Mawaziri wa Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (Indian Ocean Rim).
Mhe. Maalim akimsikiliza Balozi Kijazi wakati akimkaribisha  kuzungumza na Watumishi wa Ubalozini. Wengine katika picha ni baadhi ya Watumishi wa Ubalozi huo.
Mhe. Maalim (mwenye tai ya bluu) akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Kijazi  (kulia kwake) na Watumishi wa Ubalozi wa Tanzania uliopo New Delhi nchini India mara baada ya kuwatembelea na kuzungumza nao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. mutatembelewa na viongozi wengi kutoka tanzania hapo india kwani kila kiongozi akikohowa tu matibabu yake ni udosini

    mimi na wewe mpaka waache mgomo muhimbili

    ReplyDelete
  2. Du hawa wafanyazi wa ubalozi India wako serious hata tabasamu kidogo hakuna.

    ReplyDelete
  3. Nina kubaliana na Anonymous kila wakati vingozi wako kwenye misafara hawana shida.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...