![]() |
| Katibu Mkuu wa CCM Mhe Abdulrahman Kinana akiasalimia wana-CCM baada ya kuwasili uwanja wa Ndege wa Mtwara leo. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mtwara Mohamed Sinani |
Katibu Mkuu wa CCM Mhe Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wakaazi wa Mtwara katika soko kuu la mji huo leo
Katibu Muu wa CCM Mhe Abdulrahman Kinana akihutubia viongozi wa CCM katika ukumbi wa Makonde mjini Mtwara leo
Katibu Mkuu wa CCM Mhe Abdulrahman Kinana akiwa na Mjumbe wa Shina namba 2, Kijiji cha Mkunwa, Hassani Lilaweka, alipowasili katika kijiji hicho Mtwara Vijijini. Kushoto Mwenyekiti wa CCm mkoa wa Mtwara Mhe Mohamedi Sinani






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...