Anaitwa Anastazia Dulianus miaka 18,ni mwenyeji wa Wilaya ya Serengenti mkoani Mara,amefika jana Hospital ya Mkoa lakini mpaka sasa hajapata huduma yoyote. Mzazi wake anatafuta fedha za kwenda kupima nyama ya Mguu KCMC Moshi, anahitaji msaada wa kifedha. Atakayeguswa na hali hii afike wodi namba 4 hospital ya Mkoa wa Mara.
Home
Unlabelled
dada anastazia anahitaji msaada wako akatibiwe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





JAMANI HAWA WANAFANYA ZIARA ZA KUPONGEZANA HAWAGUSI NA HAYA??
ReplyDeleteWATANZANIA KWA SHEREHE HAKUNA DUNIANI
KAMA WANYONGE KAMA HAWA HAWANA MSAADA WOWOTE HII SEREKALI INAWEZA KITU GANI, MICHUZI WOTE TUNAJUA JUKUMU KUBWA LA GOVT NI HUDUMA KWA JAMII NA FUNDS KWA HUDUMA HIZI ZIPO, WAKATI WASAMARIA WEMA TUNAGUSWA NA MATATIZO YA WANYONGE HAWA TUUNGANISHE NGUVU KUIFANYA GOVT KUWA MORE RESPONSIBLE
ReplyDeleteAudhubillah
ReplyDeleteI think this is a bone cancer (saratan), hapo ilipo na umri wa huyu binti, bila shaka ni sheitan anayeitwa OSTEOSARCOMA.Its a pretty aggressive type of cancer.
Asante blog ya jamii,mmekuwa walau na nyie mnachangia kuwasadidia hawa wasio na uwezo wa kulipia matibabu,manake kuwatangaza hapa tu ni mchango ninadhani hawalipii gharama za tangazo.Hawa tutawachangia sawa lakini ni jukumu la serikali kaa alivyochangia mheshimiwa mmoja hapo juu.Sera ya Afya inasemaje kuhusu hawa wasio na uwezo wa kulipia gharama za matibabu?????
ReplyDeleteDavid V
mtabaki blaa blaa na selikari yetu hii... kaeni kimya tuu.
ReplyDelete