Ankal leo anaamka na ngoma ya Sipho Mabuse "Hotsticks" iitwayo Burnout ambayo pamoja na ile ya 'Zanzibar' aliyoitoa miaka hiyo zilikuwa kama nyimbo za Taifa za disko maana ikipigwa mojawapo inakuwa kama disko ndiyo limezinduliwa rasmi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ankal umenikumbusha mbaliiiii sana, kipindi hicho niko primary nilimind sana miziki ya south... kina pat shange, vuyelwa, dube na chicco chikaya...

    siku hizi nashangaa kizazi kipya hakina tena time na miziki ya south wala Zaire, ni dunia imebadirika au mimi nimezeeka??

    ReplyDelete
  2. Zamani walifaidi sio mchezo Marumba haya!

    ReplyDelete
  3. Mdau wa kanza anony Thu Nov 22, 07:17:00 AM 2012

    Wanasema kutesa kwa zamu, 'sisi' wewe na mimi tulitesa Kipindi kile na hao akina Chiko Chikaya, Pat Shange, Yvonne Chakachaka, Mzee mzima wa mavuvuzela Hugh Masekela.

    Na wao Kizazi Kipya wanatesa na miziki yao isiyo kuwa ya ku perfom ila ya kuchezesha Santuri wao wakifuatia kwa kuongea maneno ya kuunganisha na sio kuimba, lakini wakiwa wanaitwa Wanamuziki Nyota!!!

    ReplyDelete
  4. uncle Franco na Pepekale pia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...