Ankal leo anaamka na ngoma ya Sipho Mabuse "Hotsticks" iitwayo Burnout ambayo pamoja na ile ya 'Zanzibar' aliyoitoa miaka hiyo zilikuwa kama nyimbo za Taifa za disko maana ikipigwa mojawapo inakuwa kama disko ndiyo limezinduliwa rasmi
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo Ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Ankal umenikumbusha mbaliiiii sana, kipindi hicho niko primary nilimind sana miziki ya south... kina pat shange, vuyelwa, dube na chicco chikaya...
ReplyDeletesiku hizi nashangaa kizazi kipya hakina tena time na miziki ya south wala Zaire, ni dunia imebadirika au mimi nimezeeka??
Zamani walifaidi sio mchezo Marumba haya!
ReplyDeleteMdau wa kanza anony Thu Nov 22, 07:17:00 AM 2012
ReplyDeleteWanasema kutesa kwa zamu, 'sisi' wewe na mimi tulitesa Kipindi kile na hao akina Chiko Chikaya, Pat Shange, Yvonne Chakachaka, Mzee mzima wa mavuvuzela Hugh Masekela.
Na wao Kizazi Kipya wanatesa na miziki yao isiyo kuwa ya ku perfom ila ya kuchezesha Santuri wao wakifuatia kwa kuongea maneno ya kuunganisha na sio kuimba, lakini wakiwa wanaitwa Wanamuziki Nyota!!!
uncle Franco na Pepekale pia
ReplyDelete