Ngoma ya 'Staying alive' ya Bee Gees ilitamba sana enzi hizo kwenye madisko hasa baada ya muigizaji John Travolta kutamba nayo kwenye sinema yake ya jina hilo iliyohusu mashindano ya disko. Viatu vyake vya kufikia ugokoni navyo vikapewa jina lake na kuleta raha ya aina yake. Yaani yanki wa enzi hizo usipovaa 'Travolta' ulikuwa haujakamilika.
Home
Unlabelled
Ngoma azipendazo ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Mabraza men wazamani mi wananiua sana kwa style zao za nguo, zilikuwa poa sana sio kama za kwetu kata K. yaani ovyo kabisa. ankal weka picha yako ya enzi hizo tuoone mapigoz.
ReplyDeleteAKA Mabitozi, Ma-checkbob.
ReplyDelete