The Precision Air Tanzania Chief Executive Officer Alfonse Kioko  (left) receives keys for the company’s newly acquired ATR 42-600 aircraft from the ATR CEO Filippo Bagnato(right) during the official delivery of the aircraft at the ATR Delivery Center in Toulouse, France at the weekend.
 The ATR CEO Filippo Bagnato (left) shows the Precision Air Tanzania Chief Executive Officer Alfonse Kioko  (right) the interior décor of the new ATR 42-600 aircraft purchased by his company during  the official delivery of the aircraft at the ATR Delivery Center in Toulouse, France at the weekend
 The Precision Air Tanzania Chief Executive Officer Alfonse Kioko  (left) receives a present from the ATR CEO Filippo Bagnato(right)   that portrays the  company’s newly acquired ATR 42-600 aircraft during the official delivery of the aircraft at the ATR Delivery Center in Toulouse, France at the weekend.
Precision Air Tanzania and ATR staff pose for a group photo in front of Precision Air’s new ATR 42-600 during the official delivery of the aircraft at the ATR Delivery Center in Toulouse, France at the weekend.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Kwa bei hiyo mgepata boeing 2 used zenye uwezo wa kuchukua abiria 100 kila moja.

    ReplyDelete
  2. Sisi ndiyo panya wa majaribio?

    ReplyDelete
  3. Precision wajanja kama airline za ulaya au Ethiopia hawanunui kwa kutoa hela taslimu bali wanalipa kidogo kidogo kwa kipindi kirefu kufuatana na mapato yao na muuzaji anawaamini ndiyo maana wanasaini mkataba usio na utata kwa pande mbili,

    Pia ndege mpya matengenezo ya mara kwa mara ni nadra na ndiyo maana Precision Air wanafanya vizuri katika tasnia ya usafiri wa anga Afrika Mashariki.

    Mdau
    Ulaya

    ReplyDelete
  4. Mdau wa kwanza ivi wewe huna woga kununua used kitu kinachoruka angani?huoni mifano hai ya magari used yanavyomwaga watu? au mfano wa yale malori ya kule wazo yanavyo ua kila mara kule tegeta kwa kushindwa kufunga breki? au nisiende mbali kwa mifano ebu tujikumbushe rada inavyotuchachafya na kula hela za matengenezo licha ya kununuliwa kimazabe kwa hela nyingi lakini bado tunagharimika kwa matengenezo. nadhani hawa precision air wanafahamu fika kwamba wangepata ndege mbili used kwa fedha hizo ila wamehesabu gharama ambazo zitakazo wafika pindi mambo yanapokua si mambo.

    ReplyDelete
  5. haswa bora ndege mpya.

    ReplyDelete
  6. Jamani michuzi una uhakika wao ndio wa kwanza kuoperate ndege ya namna hiyo dunia nzima au kwa bongo tu? Mbona mimi niko Sweden, na kwa safari za ndani ya nchi, nimeshapanda sana ndege za namna hiyo.Labda kama kuna mitambo flani ya kiufundi inayofanya majina yake yatofautiane, but ndege ya namna hiyo ziko kibao huku tunapanda sana, sema zinasafiri safari fupifupi tu.

    ReplyDelete
  7. Precicion wamefanya jambo la msingi sana sana kununua ndege aina ya ATR
    kwani zinasifika kwa kuwa more economy and fuel efficiency kwa ndege
    zao za abiria kati ya 80 mpka 120 kitu ambacho ni kizuri katka Aviation
    Industry where operation cost ni kubwa mno ili uweze ku compete.
    ATR airline zinatengenezwa France chini ya Airbus in Toulouse
    airplan expert-Tz

    ReplyDelete
  8. Safi sana, lakini nadhani Precision sasa wanazo ATR za kutosha. Sana wangejikita zaidi katika kununua jets.

    ReplyDelete
  9. Huwa nasikia(KUSIKIA) ndege zilizotumika(zilizoruka muda mrefu) ndizo zina usalama zaidi kuliko mpya tofauti na magari.Kuna ukweli?

    David V

    ReplyDelete
  10. Website ya Kampuni ya ATR inaeleza kuwa Precision ni kambpuni ya kwanza kununua ndege aina hii ATR 42-600
    http://www.atraircraft.com/newsroom/press-releases-details-1197-en.html

    Wandugu kuweni na imani na taarifa za nyumbani badala ya kuwa na picha negative kuhusu kila jambo. Haikusaiidii wewe wala nani. After all unaweza kuthibitisha hayo unaouliza kwa kutumia mtandao badala ya kuweka comments zenye kuonyesha uvivu wa fikra na mgando wa mawazo.
    Hapa namuelimisha annony wa Tue Nov 13, 01:24:00 AM 2012

    kama huelewi google it. Ndege na zenyewe zina model kama yalivyo magari. Hii ni Model mpya kabisa - ATR 42-600 (- 600) ni muendelezo wa Model za ATR 42 ambazo zilitangulia pamoja na kubwa zao ATR 72, ambazo nazo zina model kadhaa. Tembelea website ya ATR utapata habari zaidi au Tembeleza Wikipedia page ya ATR na utapata taarifa zaidi.

    Mdau wa Nyumbani

    ReplyDelete
  11. Anonymous wa 13,01:24:00 AM 2012. HIYO NDEGE NI KWELI NI MPYA NA PRECISION NDIO KAMPUNI YA KWANZA DUNIANI KUENDESHA NDEGE HIYO. HIYO NI ATR 42-600 HAIJAWAHI KUTENGENEZWA NI SERIES MPYA BAADA YA ILE YA ZAMANI ATR 43-500. KAMA WASEMAVYO NI KWAMBA HII -600 IKO MORE SOPHISTICATED KULIKO ILE YA -500. NIKWELI ATR ZIKO NYINGI LABDA NA HUKO SWEDEN ILA YABIDI UTUJULISHE HIZO UNAZOPANDA WEWE NI ATR AINA GANI? HATA AIRBUS ZIKO NYINGI LAKINI KAMA UNASAFIRI SANA NA AIRBUS 320 NI TOFAUTI KABISA NA AIRBUS 380, UPO MDAU HIVYO KUWA NA DETAIL KABLA HUJALETA UBISHI SAWA EEH? NI HAYO MACHACHE TU KWA LEO NA ASANTE KWA KUNIELEWA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...