Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe akiendelea
kuvutia maongezi mazito hata baada ya kutoa hotuba baada ya mkutano wa Jumuiya ya Waingereza na Tanzania katika ukumbi wa Central Hall, Westminster, London.
Waziri wa
Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amewahakikishia Watanzania na wageni kwamba jitihada zitaendelea kufanywa na
serikali kuboresha usafiri Bongo.
Akiongea mjini
London juzi katika “mkutano wa mwaka” wa jumuiya ya Watanzania na Waingereza
(Britain-Tanzania Society) na Mfuko wa Udhamini wa Maendeleo (Tanzania Development Trust), alisema bado
pana mengi sana ya kufanya toka ateuliwe miezi minne iliyopita.
Waziri Mwakyembe vile
vile alifafanua kuhusu majadiliano ya
katiba mpya inayotegemewa kutajwa mwaka
2015.
Kwa habari kamili na picha kibao
toka kwa mdau Freddy Macha
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...