Hii ni mojawapo ya kazi kibao za Hayati Sharo Milionea akiwa na mzee Majuto. Angalia kipaji hicho kilichoyeyuka mithili ya mshumaa uliowaka na kisha kuzimwa na upepo wa kifo....You've died so young maaaaaan!!
YOU-KNOW-WHATAAMSEYING....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Dah!

    Binadamu wabaya jamani! Hapo si washamloga baada ya kuona anapata mafanikio jamani!

    Vibaya hivyo lakini jamani!

    Dah!

    ReplyDelete
  2. JAMANI KIFO CHA KIJANA HUYU KIMENITIA UCHUNGU MKUBWA SANA LAKINI TUKIJUWA KWAMBA SAFARI YA KIFO NI YA KILA MMOJA WETU BASI NAOMBA MUNGU AWATIE NGUVU MAMA NA BABA YAKE MZAZI NA NDUGUZE WAKARIBU
    POLENI SANA NA TUNAOMBA MIPANGO YAKE YA MAZISHI IFANIKISHWE KWA AMANI NA UTULIVU
    AMINA

    ReplyDelete
  3. wasanii wa kibongo mnaumizana sana kwa njia ya benchi la ufundi ndio tatizo lenyewe

    kule marekani wanamalizana kwa miguu ya kuku

    rest in peace hussein.

    ReplyDelete
  4. Siamini maoni ya mtu wa kwanza na watatu, mtu amefariki kwa ajali ya gari ambazo kwa bongo zinatokea kwa sana mpaka sasa zimeshazoeleka nyinyi mnasingizia uchawi kweli? kazi ipo si kidogo? baada ya kutumia nafasi ku call upon kupunguza ajali barabarani nyinyi mshaanza na witch hunt. kweli tutachukua muda kuendelea.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...