Hii ni mojawapo ya kazi kibao za Hayati Sharo Milionea akiwa na mzee Majuto. Angalia kipaji hicho kilichoyeyuka mithili ya mshumaa uliowaka na kisha kuzimwa na upepo wa kifo....You've died so young maaaaaan!!
YOU-KNOW-WHATAAMSEYING....
YOU-KNOW-WHATAAMSEYING....


Dah!
ReplyDeleteBinadamu wabaya jamani! Hapo si washamloga baada ya kuona anapata mafanikio jamani!
Vibaya hivyo lakini jamani!
Dah!
JAMANI KIFO CHA KIJANA HUYU KIMENITIA UCHUNGU MKUBWA SANA LAKINI TUKIJUWA KWAMBA SAFARI YA KIFO NI YA KILA MMOJA WETU BASI NAOMBA MUNGU AWATIE NGUVU MAMA NA BABA YAKE MZAZI NA NDUGUZE WAKARIBU
ReplyDeletePOLENI SANA NA TUNAOMBA MIPANGO YAKE YA MAZISHI IFANIKISHWE KWA AMANI NA UTULIVU
AMINA
wasanii wa kibongo mnaumizana sana kwa njia ya benchi la ufundi ndio tatizo lenyewe
ReplyDeletekule marekani wanamalizana kwa miguu ya kuku
rest in peace hussein.
Siamini maoni ya mtu wa kwanza na watatu, mtu amefariki kwa ajali ya gari ambazo kwa bongo zinatokea kwa sana mpaka sasa zimeshazoeleka nyinyi mnasingizia uchawi kweli? kazi ipo si kidogo? baada ya kutumia nafasi ku call upon kupunguza ajali barabarani nyinyi mshaanza na witch hunt. kweli tutachukua muda kuendelea.
ReplyDelete