Wanamitindo wote wenye ndoto za kukuza vipaji vyao mnaombwa mjitokeze kwa wingi siku ya tarehe 18/11/2012 siku ya jumapili saa nne asubuhi katika hoteli ya Lamada iliyopo maeneo ya Ilala karibu na Msimbazi Center ili kufafanyiwa usaili wa kupata tiketi ya kuingia UNIQUE MODEL a.k.a "gold room".  

Ewe mwanamitindo usikose nafasi hii adimu ya kutimiza ndoto zako za kuwa mwanatindo maarufu na atakaepata dili kibao za mitindo ndani na nje ya nchi,jitokeze ni wakati wako sasa binti.Unique model 2012 imedhaminiwa na Giraffe ocean view hotel,Dtv,Gazeti la Tanzania Daima,mashujaa Investment ltd, Sophernner Investment co ltd,K.d.surelia,young don records,Kiu investment ltd,Oriental bureau de change,,J’s professional ltd,Lamada apartments hotel,wajanja club blog na Unique entertainment blog

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...