Sehemu ya sherehe za Miaka 51 ya Uhuru katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Tisa Desemba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Nakumbuka nilipiga kwata ya kumuaga Nyerere wakati nikiwa JKT. Kwa mara ya kwanza paredi iliongozwa na senior officer Colonel aliyekuwa mkuu wa chuo cha Munduli. Na kwa mara ya kwanza JKT walivaa Ceremonial Dresses na but za ki canada na kulikuwa hakuna volunteer hata mmoja. Jezi zetu zilikuwa za wool so you can imagine how hot it was. Amini usiamini baada ya miezi mitatu hata kutembea tulikuwa tunakwenda military style na kusimama kwa urefu. Jirani zangu walikuwa Mr. Kisiri na Mr Kipacha.Blackmpingo

    ReplyDelete
  2. Yani nashukuru at least nimepata hii clip kuona how it was maana mie nilikua ndani ya ilo gwaride la miaka 51

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...