Lori la Mizigo lenye nambari za usajili T 593 ABE mali ya Kampuni ya kutengeneza Unga wa Ngano ya Azania,likiwa limepiga mweleka mchana huu katika eneo la Mbezi Mwisho,jijini Dar es Salaam.Chanzo cha kupiga mweleka kwa Lori hilo hakuja fahamika mpaka sasa,na hakula alieumia wala kupoteza Maisha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Sio jipya tumeshazoea?tumeandika weeee, tumesema weeee,tumelia weeeee, tumesikitika weeeeee, sasa iliyobaki ni kucheka tuuuuu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...