Mtangazaji wa Televisheni ya Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC1), Grace Kingarame akiwa amependeza baada ya kufanyiwa mambo katika Saloon ya Centre Point, Mwenge, Dar es Salaam leo, ikiwa ni maandalizi ya kufunga harusi na Mwandishi Mwandamizi wa gazeti la Jambo Leo, Julius Kihampa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Angefunika mgongo na mabega angependeza zaidi sana! Vitu vizuri nyeti vinafunikwa, vinafichwa kwa kadamnsasi!

    ReplyDelete
  2. lakini mbona ni akina mama?

    ReplyDelete
  3. Hey!!Sasa ulitaka awe `mbaba` au unaongelea umri?Umri ni namba tu rafiki yangu hapo juu.Hongera dada Grace.Kwa nyongeza tu,mimi naona kama ni picha ya mtu mmoja,sura nyingine ni "REFLECTION" kwenye kioo.Ankal nipe vema somo lako la picha nililielewa vizuri,kuchunguza picha kwa umakini!

    David V

    ReplyDelete

  4. Kiukweli Grace ulivyo dress umependeza sana and i mean it

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...