Waziri wa ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe Shamsi Vuai Nahodha akiwa katika picha ya pamoja na maofisa waandamizi 42 wenye vyeo vya meja hadi kanali wa nchi za ukanda wa afrika mashariki na nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika SADC pamoja na viongozi mbalimbali wa jeshi mara baada ya kuhitimu mafunzo ya unadhimu katika chuo cha ukamanda na unadhimu (CSC) Arusha leo. Picha na Woinde Shizza
Home
Unlabelled
maofisa waandamizi 42 wa jeshi wahitimu mafunzo ya unadhimu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...