Boti ya Kikundi cha Mwamabao Fishing group iliyopewa jina la” Nani Kama Mama” wakati wa uzinduzi jana jioni ikiondoka katika bandari ya Lindi tayari kwa kazi ya uvuvi
Mama Salma Kikwete akitoa msaada vifaa vya kwa wawakilishi wa kikundi cha Mwambao Fishing Group katika bandari ya Lindi jana jioni.
Mama Salma Kikwete na viongozi wengine pamoja na wawakilishi wa kikundi cha Mwambao Fishing group waki vuta kamba kuzindua rasmi Boti ya kikundi hicho jana wakati wa sherehe za makabidhiano yaliyofanyika katika bandari ya Lindi jana jioni. Picha na Freddy Maro


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...