Makamu wa Rais Dkt Mohammed Gharib Bilal akipokea zawadi maalum kutoka Rais mpya wa Mexico iliyokabidhiwa kwa  Afisa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani Suleiman Saleh, mara baada ya kuapishwa kwa Rais huyo leo jijini  Mexico City.
 Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal akipokea zawadi kutoka kwa Rais Mpya wa Mexico iliyokabidhiwa kwa  Afisa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani Suleiman Saleh leo jijini Mexico City.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akiwa na Mama Asha Bilal akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais Mpya wa MEXICO Bw. Enrique Nieto zilizofanyika leo kwenye viwanya Bunge jijini  Mexico City. Picha na VPO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Katika nchi nyingine, kama zawadi ikifika kiwango fulani, si ya waliopewa; inakuwa ya taifa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...