Kazi za msanii  Marlaw w wa Tanzania zinatambuliwa hata nje ya mipaka ya nchi yake baada ya bendi ya Polisi Kenya kupiga wimbo wake wa Pii pii katika hafla mbalimbali. Hapa chini Bendi ya polisi ya Kenya ikipiga wimbo wa Marlaw wa 'Pi Pi Pi'   wakati wa kikao cha 14 cha viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kilichofanyika Novemba 30, 2012 katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Michuzi Hii nimeipenda.

    KALLEY

    ReplyDelete
  2. hata mimi pia

    ReplyDelete
  3. Mimi naipenda, wewe waipenda lakini copy right iko wapi
    Mbongo astahili kupata chochote wimbo wake ukitumiwa hivyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...