Mdau wa Globu ya Jamii,Fatma Awudu Rajab Mwinyijuma akiwa ni mwenye furaha sana mara baada ya kulamba nondozz yake ya Bachelor Of Science of Nursing katika Chuo Kikuu cha Kennesaw State University, Atlanta Georgia.

Mdau Fatma Awudu Rajab Mwinyijuma akiwa na mumewe pamoja na Mama yake Mzazi,Bi Amina Rajabu Mwinyijuma,waliofika Chuoni hapo kumpongeza baada ya kulamba nondozz yake ya Bachelor Of Science of Nursing katika Chuo Kikuu cha Kennesaw State University, Atlanta Georgia.
Mdau Fatma Awudu Rajab Mwinyijuma akiwa na dada zake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hongera sana Bi. Fatma!

    Inshallah Mwenyezi atakuongoza uitumie vema elimu yako kwa faida za Duniya na Akhera.

    ReplyDelete
  2. Hongera Bi FAtma ALLAh akujaalie iwe ndio mwanzo wa mafanikio yako AMin, Dadio safarini Atlanta GA.

    ReplyDelete
  3. Hongera Sana Sana da Fatma Allah akujaze ma degree mengine kibao na usiishie hapo tu ufike mbali zaidi na uspecilize on something.Hongera once again na Allah ibarik.
    Qaqa wa habib.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...