Kulikuwa na hawa jamaa wa Shannon ambao walitingisha sana na ngoma yao ya 'Let the music play' enzi hizo za kutikisa kichwa na mabega,,,

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hii ilikuwa ni mwaka 1984 ahhh jamani zamani kulikuwa kutamu!

    ReplyDelete
  2. Muziki mtamu umenikumbusha mbali sana ama kweli sisi wa miaka hiyo tumekula bata sana!

    Maisha bora tuliyala si uongo hatukuwa na mifumuko ya gharama za maisha, ukiwa na ELFU MOJA yako ni kama Bilionea mmoja hivi!!!

    ReplyDelete
  3. Ingekuwa ziku zinarudi nyuma tungerudisha kipindi hiki!!!

    ReplyDelete
  4. Duhhh Ankali kweli mlifaidi!!!

    ReplyDelete
  5. ...Karika neema kubwa ambazo sisi wa zamani hatuwezi kusahau ambazo ninyi wa sasa hati hati kuzipata au kuzipata kwa gharama kubwa saaana na kujitoa mhanga.

    Sio neema ingine bali ni KWENDA PEKU PEKU, AHHH WATU WALIKUWA WAKIJIENDEA PEKU PEKU NA WALA HAWAKUCHOMWA NA MIBA WALA HAKUKUWA NA MISUMARI, LAKINI SASA THUBUTU?

    UKIJIPA UJASIRI WA KWENDA PEKU MWENZA ANAKUZINDUA ANAKATAA KATA KATA KWENDA PEKU PEKU !!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...