Home
Unlabelled
ngoma azipendazo ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii ilikuwa ni mwaka 1984 ahhh jamani zamani kulikuwa kutamu!
ReplyDeleteMuziki mtamu umenikumbusha mbali sana ama kweli sisi wa miaka hiyo tumekula bata sana!
ReplyDeleteMaisha bora tuliyala si uongo hatukuwa na mifumuko ya gharama za maisha, ukiwa na ELFU MOJA yako ni kama Bilionea mmoja hivi!!!
Ingekuwa ziku zinarudi nyuma tungerudisha kipindi hiki!!!
ReplyDeleteDuhhh Ankali kweli mlifaidi!!!
ReplyDelete...Karika neema kubwa ambazo sisi wa zamani hatuwezi kusahau ambazo ninyi wa sasa hati hati kuzipata au kuzipata kwa gharama kubwa saaana na kujitoa mhanga.
ReplyDeleteSio neema ingine bali ni KWENDA PEKU PEKU, AHHH WATU WALIKUWA WAKIJIENDEA PEKU PEKU NA WALA HAWAKUCHOMWA NA MIBA WALA HAKUKUWA NA MISUMARI, LAKINI SASA THUBUTU?
UKIJIPA UJASIRI WA KWENDA PEKU MWENZA ANAKUZINDUA ANAKATAA KATA KATA KWENDA PEKU PEKU !!!