Krismas bila sauti ya Jim Reeves huwa hainogagi....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. True uncle, love his music too

    ReplyDelete
  2. Nafikiri kwa Mabangi ya Wanamuziki wetu wa Kisasa hapa Bongo hadi huko Majuu hakuna atakayeweza kuwa na koromeo lenye kutoa sauti hii hata kwa kukopi!

    ReplyDelete
  3. hasa hasa ukiwa na bilauri ya mbege au fanta/coca cola na mbusi ya kuchome

    ReplyDelete
  4. Mithupu umenikumbusha kwetu Rombo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...