Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mmiliki na Mwenyekiti wa Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza, Sunderland, Bw. Ellis Short (kushoto kwa Rais), Makamu mwenyekiti wa Klabu hiyo Bw. David Milliband (kulia kwake), Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe Kagasheki, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dr Fenella Mukangara, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim pamoja na maafisa wa Bodi ya Utalii bada y mkutano na Rais Ikulu jijijni Dar es salam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea jezi toka kwa mmiliki na Mwenyekiti wa Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza, Sunderland, Bw. Ellis Short huku Makamu mwenyekiti wa Klabu hiyo Bw. David Milliband na Mkurugenzi wa Masoko wa klabu hiyo Bw. John Farnan wakiangalia bada ya mkutano wa na Rais Ikulu jijijni Dar es salam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza, Sunderland, Bw. Ellis Short huku Makamu mwenyekiti wa Klabu hiyo Bw. David Milliband na Mkurugenzi wa Masoko wa klabu hiyo Bw. John Farnan Ikulu jijijni Dar es salam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza, Sunderland, Bw. Ellis Short, Makamu mwenyekiti wa Klabu hiyo Bw. David Milliband, Mkurugenzi wa Masoko wa klabu hiyo Bw. John Farnan, Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe Kagasheki, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dr Fenella Mukangara, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim pamoja na maafisa wa Bodi ya Utalii bada y mkutano na Rais Ikulu jijijni Dar es salam leo.
PICHA NA IKULU
HAHAHA... HATA JUMA KASEJA( AU YEYOTE ) JIHIMU NENDA UINGEREZA UKUTANE NA WAZIRI MKUU UMPELEKEE JEZI.
ReplyDeleteJEZI NYINGINE. U gotta love our president.
ReplyDeleteSUNDERLAND ya Uingereza kwa Tanzania ndio MSIMBAZI YENYEWE!
ReplyDeleteHivyo kuipokea jezi yao ndio KAMA UMESAINI na ndipo Mwana Yanga Imara unajikuta bila kuelewa unaelekea Klabu ya SIMBA S.C tena hata ukitakaa kwa pesa utaenda kwa Mkopo!
Manji anauliza, JK janja hii kwisa jua?
ReplyDeleteSimba SC inakuja kwa mlango wa Jikoni hapo!
Ha,ha,ha,ha !
ReplyDeleteNiliwahi kushuhudia tukio moja la kusisimua kwa Fundi Viatu.
Palikuwa na ndara (kandambili)jozi kadhaa katika gunia za Wateja kuvaa kwa muda kwa fundi viatu wanapopigiwa kiwi viatu vyao.
1.ALIFIKA MTEJA WA KWANZA:
FUNDI VIATU AKAFUNGUA GUNIA LA NDARA AKATOA NDARA ZA KIJANI, AKAZIRUSHA MIGUUNI MWA MTEJA WA KWANZA YULE MTEJA ALIPOONA NDARA ZA KIJANI HEWANI, ALIZITAZAMA KWA TAHADHARI AKAZIKWEPA ZIKATUA CHINI, AKAZIRUSHA KURUDI KWA FUNDI AKADAI NIBADILISHIE!, MZEE MMOJA ALIKUWEPO AKAMWAMBIA FUNDI BADILI RANGI FUNDI AKATOA NDARA NYEKUNDU ALIPORUSHA MTEJA AKAZIDAKA KWA FURAHA KABISA.
2.AKAJA MTEJA WA PILI:
AKAMKUTA MTEJA WA KWANZA ANA NDARA NYEKUNDU MIGUUNI AKAZITAZAMA SANA HUKU HAJAFURAHI USONI, MTEJA WA PILI
AKARUSHIWA NDARA NYEKUNDU, WAKATI ZIPO HEWANI AKARUSHA TEKE KUZIRUDISHA KWA FUNDI, ZIKATUA KWA FUNDI, FUNDI KWA BUSARA AKARUDISHA NDARA ZA KIJANI KWA KUZIRUSHA,,,MTEJA AKAZIPOKEA KWA KUZIDAKA KAMA KIPA WA TIMU YA MPIRA ANAVYODAKA!
HIVYO TUKAJUA YA KUWA UNAZI WA TIMU ZA MICHEZO UPO HADI KTK MAISHA YA KAWAIDA!
JE, MHE. RAISI JK KTK PICHA PILI UNAONEKANA RANGI ZA JEZI(NYEKUNDU +NYEUPE) HAZIJAKUVUTIA KWA JINSI UNAVYOIKAGUA JEZI HIYO, JE JEZI HIYO ITAKAA MGONGONI MWAKO ???
Duhhh,!
ReplyDeleteRage na Msimbazi wana Mipango hawa si mchezo!
Yaani wamewaita Tawi lao la Uingereza wakawatuma, wao ahhh hata hawakuwasindikiza!
Picha ya 2,
ReplyDeleteMhe. Raisi JK jezi kama unavyoona ndiyo hii imechapishwa jina la Cheo chako yaani 'MR. PRESIDENT' ,
...(SWALI) Je, ni nini cha ziada ungependa kiwepo ktk jezi, inaonyesha hujaridhika?
...(JIBU) ahhh ningependa iwe ktk rangi ya KIJANI NA NJANO!
KIKWETE wewe si mpenzi wa Newcastle United?sasa unashika vipijezi ya sunderland?AU hujui uadui wa hizi timu
ReplyDelete