Redd's Miss Tanzania 2012, Brigitt Alfred (wa pili kulia) akiwa pamoja na matron wake,Irene Karugaba (katikati) mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba mapema leo asubuhi tayari kwa ziara yake Mkoani Kagera.Kushoto ni Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania,Albert Makoye.
Redd's Miss Tanzania, Brigitt Alfred (wa pili kushoto),Matron wake,Irene Karugaba (kulia) na Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania,Albert Makoye wakiwa pamoja na Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Ndege la Precisian Air mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba mapema leo asubuhi.
Redd's Miss Redds Tanzania 2012,Brigitt Alfred (katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye ukumbi wa hoteli ya Victorious,mjini Bukoba mapema leo juu ya ziara yake Mkoani Kagera.Kulia ni Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania,Albert Makoye na Kushoto ni Matron wa Miss huyo,Irene Karugaba.
Redd's Miss Redds Tanzania 2012,Brigit Alfred (mwenye miwani) akiwa na baadhi ya wadau wa Bukoba waliojitokeza kumpokea kwenye uwanja wa Ndege wa Bukoba.
Redd's Miss Redds Tanzania 2012,Brigitt Alfred (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na mdau Audax Mutiganzi ambaye ni ripota wa Globu ya Jamii toka mkoani Kagera (katikati) pamoja na Mkuu wa Itifaki wa Miss Tanzania,Albert Makoye,Matron wa Miss Tanzania 2012,Irene Karugaba pamoja na Mdau wa Habari wa Mjini humo mara baada ya kuwasili kwenye hoteli ya Victorious Perch iliyopo katika manispaa ya Bukoba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. seriously je huu uwanja ni wa udongo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...