Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM Zanzibar,(UVCCM) walipofika Ikulu Mjini Zanzibar,kumpongeza Rais kwa kuchaguliwa kushika nafasi ya Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar hivi Karibuni huko Dodoma,baada ya kufanyika Mkutano Mkuu wa Chama hicho.
Baadhi ya Viongozi wa juu wa Umoja wa Vijana CCM Zanzibar,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,alipokuwa akizungumza nao wakati walipofika kumpongeza Ikulu Mjini Zanzibar,kwa kuchaguliwa kushika nafasi hiyo,baada ya kufanyika Mkutano Mkuu wa Chama hicho huko Dodoma hivi karibuni. (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...