Halima binti Juma
 Ndugu jamaa na marafiki pamoja na Bi harusi na bwana harusi Hija Saleh
 Mdau Hija Saleh na mai waifu  Halima binti Juma
 Ni siku ya furaha tele
 Ndugu na watoto na  Halima binti Juma
Wakivalishana pete upya bomani jijini The Hague, Uholanzi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nawatakia kila la kheri kwenye ndoa yenu na mpate watoto wema na muishi maisha marefu yenye mapenzi ameen.

    Ndugu yako:
    Cool cidy.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...