Ankal akiwa na Mwalimu wa lugha Bi Aziza Mohamed Abubakar jijini Paris. Bofya mshale hapo chini umsikilize akiongelea kazi yake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Hongera sana Bi. Aziza Mohamed binafsi nimekukubali. Mh. Ankal hizi ndiyo habari tunapenda kusikia, kwamba kuna mtanzania mwenzetu anafanya mambo ya akili huko ulaya, siyo wale wababaishaji wa marekani eti kijiwe cha ughaibuni, igeni mfano wa mama huyu acheni kuendeleza vijiwe huko mliko mtaishia kulalamika wakati vichwa mnavyo

    ReplyDelete
  2. Asante sana Michuzi... Huyu Mama kanifurahisha sana...

    ReplyDelete
  3. kiswahil ni lugha yetu tuiendeleze kwa juhudi zetu zote, pamoja na kuwa kuna lugha zingine kubwa za kimataifa tunazopaswa kuzitumia lugha yetu bado ni ya muhimu sana. Tukifanya ivo kizazi kijacho kitajivunia sana lugha hii.

    ReplyDelete
  4. Hongera san Bi Aziza kwa kutuwakilisha. Kiswahili ni lugha ya kujivunia!!!!!

    ReplyDelete
  5. We kaa tu na akili zako kuwa watanzania wote waishio Marekani wanakaa vijiweni. Marekani kubwa nakushauri tembea ujionee. Utashangaa.

    ReplyDelete
  6. Big up lady - nimekupenda

    ReplyDelete
  7. Hongera sana Bibi Aziza kwa kazi kubwa huko nje,

    Je, ninyi Idara ya Lugha za Kigeni ya CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM, mnamshirikisha mtu huyu muhimu katika Mitaala yenu hapo?

    Je, mna mawasiliano naye pia kuchangiana mawazo jinsi ya kuendesha Taaluma kwa Maslahi ya nchi yetu?

    UTAWEZA KUSIKIA CHA AJABU, INAWEZEKANA KABISA HAWANA USHIRIKIANO NAYE KABISA NA WALA HAWATAKUWA TAYARI KUWA NAYE, KISA NINI (UGALI) MASLAHI BINAFSI!

    HIVI KWELI TANZANIA TUTAFIKA?

    ReplyDelete
  8. Haya Madiaspora Majuu!

    Hivi ni kweli kuongea Kiswahili kunawasumbua wakati Profesa wa Lugha mnaye huko?

    ReplyDelete
  9. I love this! I am inspired! She is fantastic!

    ReplyDelete
  10. She is above all of them. Tanzanians too selfish. Wanakimbiza shilling tu.

    ReplyDelete
  11. Anonymous wa tano nielewe vizuri, sikusema kuwa watanzania wote wanaokaa marekani wanakaa vijiweni, nilikuwa naongelea hao jamaa wa kijiwe ughaibuni na wanaofanana na hao. Huna haja ya kunijulisha kuwa Marekani ni kubwa hilo nalijua kwani nami nimekaa huko hadi nilipoamua kurudi nyumbani japo nitakuwa huko mwezi wa tano mwaka huu. Nasisitiza ukubwa au udogo wa nchi haumfanyi mtu awe wa kijiweni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...