Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii asubuhi hii na kuthibitishwa kutoka katika vyanzo vyetu vya habari, inaeleza kuwa Msanii aliyekuwa akisumbuliwa kiafya kwa muda mrefu,afahamikae kwa jina la Sadick Juma Kilowoko Maarufu kwa Jina la Kisanii SAJUKI Amefariki Dunia mapema leo asubuhi.

Marehemu Sajuki,  ambaye hivi karibuni Serikali ilijitolea kubeba jukumu la kugharamia matibabu yake na hatimaye hivi karibuni kulazwa kwenye kitengo cha wagonjwa mahututi (ICU) kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili,amefariki Dunia mapema leo majira ya saa moja. 

 Mungu aipumzishe roho ya marehemu mahali pema peponi-Ameni. 

 Wadau tutazidi kutaarifiana kwa habari nyingine kuhusiana na msiba huu kwa kadiri zitakavyokuwa zikipatikana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Rest in peace Sajuki. innallah wa inailaah raajun.

    ReplyDelete
  2. R.I.P sajuki,roho inaniumaje

    ReplyDelete
  3. Poleni sana wafiwa mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi Amen

    ReplyDelete

  4. RIP BROTHER. NA MUNGI AMPE MKEO NGUVU YA KUSIMAMA IMARA KIROHO NA KIMWILI KTK HIKI KIPINDI KIGUMU.

    ReplyDelete
  5. Bwana ailaze roho ya marehem pahala pema peponi, amen




    ReplyDelete
  6. R.i.p. kaka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...