Kwa Niaba ya Familia ya Bi Arafa (Pichani) Napenda kutoa shukrani za Dhati kwa wale wote ambao waliguswa na hali ya Mgonjwa huyu na kuridhia kumchangia ili kumtoa wilayani Ruangwa na kuwezesha kumfikisha katika Hospital ya Muhimbili Mwezi Nov 2012 na juzi kufanyiwa Upasuaji.

Hali ya Mgonjwa huyu inaendelea vema katika hospital ya Muhimbili akisubiria kutoa Nyuzi

Mungu aliwawezesha na kumsaidia mpaka hali ilivyofikia sasa na Kubwa Nawaomba Muendelee kumuombea Dua ili aweze kupona na kuendelea kujitafutia riziki ya kila siku

Ahsanteni sana.
Ni Mimi Abdulaziz Ahmeid Video

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mungu akuponye kabisa urudi kulijenga taifa letu.

    ReplyDelete
  2. Tunaomba basi ndugu yetu uliyefanikisha kupatiwa msaada kwa binti huyu utupatie picha yake baada ya kufanyiwa upasuaji

    ReplyDelete
  3. Mola ni mwingi wa rehema,tunamwombea bi Alafa apate kupona haraka ili aweze kuendelea na shughuli zake kama kawaida.Amin.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...