Mke wa Rais mama Salma Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa
Arusha,Magesa Mulongo mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege
wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA)jioni ya leo,kesho atafunga mkutano wa
kimataifa juu afya ya mama katika ukumbi wa mikutano AICC.
Mke wa Rais mama Salma Kikwete akisalimiana na Katibu Tawala wa Mkoa
wa Arusha,Mama Itanisa mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege
wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA)jioni ya leo,kesho atafunga mkutano wa
kimataifa juu afya ya mama katika ukumbi wa mikutano AICC.
Mke wa Rais mama Salma Kikwete akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya
Arusha,John Mongela mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Kilimanjaro(KIA)jioni ya leo,kesho atafunga mkutano wa
kimataifa juu afya ya mama katika ukumbi wa mikutano AICC.
Mke wa Rais mama Salma Kikwete akisalimiana na Kamanda wa Polisi Mkoa
wa Arusha,Liberatus Sabas mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA)jioni ya leo,kesho atafunga
mkutano wa kimataifa juu afya ya mama katika ukumbi wa mikutano AICC.
Mke wa Rais mama Salma Kikwete akiwapungia mkono waimbaji wa kikundi
cha Msanja cha jijini Arusha , mara baada ya kuwasili kwenye uwanja
wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA)jioni ya leo,kesho atafunga
mkutano wa kimataifa juu afya ya mama katika ukumbi wa mikutano
AICC..jpg)
.jpg)
Mke wa Rais mama Salma Kikwete akisalimiana na viongozi wa Umoja wa wanawake wa Chama cha Mapinduzi(UWT) Mkoa wa Arusha, mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA)jioni ya leo,kesho atafunga mkutano wa kimataifa juu afya ya mama katika ukumbi wa mikutano AICC.Picha zote na Filbert Rweyemamu
Ana na ata endelea kuitwa Muwaji wa watoto wa Albino.Hiyo nidyo trade mark.Ni Brand inayo represent Uwaji wa Albino. Hata mafisadi wamechoka hawa taki kushirkiana au kuwa na husiano na biashara ya uchawi kuuaa watoto malika wa Albino.Hakuna kipya hapa.Ame jaribu ameshindwa ata endlea kuita muwaji wa watoto wa Albino.Tusonge mbele tuwache wauwaji wa Albino.
ReplyDelete