Mke wa Rais mama Salma Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Magesa Mulongo mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA)jioni ya leo,kesho atafunga mkutano wa kimataifa juu afya ya mama katika ukumbi wa mikutano AICC.
Mke wa Rais mama Salma Kikwete akisalimiana na Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha,Mama Itanisa mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA)jioni ya leo,kesho atafunga mkutano wa kimataifa juu afya ya mama katika ukumbi wa mikutano AICC.
Mke wa Rais mama Salma Kikwete akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Arusha,John Mongela mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA)jioni ya leo,kesho atafunga mkutano wa kimataifa juu afya ya mama katika ukumbi wa mikutano AICC.
Mke wa Rais mama Salma Kikwete akisalimiana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha,Liberatus Sabas mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA)jioni ya leo,kesho atafunga mkutano wa kimataifa juu afya ya mama katika ukumbi wa mikutano AICC.
Mke wa Rais mama Salma Kikwete akiwapungia mkono waimbaji wa kikundi cha Msanja cha jijini Arusha , mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA)jioni ya leo,kesho atafunga mkutano wa kimataifa juu afya ya mama katika ukumbi wa mikutano AICC.
Mke wa Rais mama Salma Kikwete akisalimiana na viongozi wa Umoja wa wanawake wa Chama cha Mapinduzi(UWT) Mkoa wa Arusha, mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA)jioni ya leo,kesho atafunga mkutano wa kimataifa juu afya ya mama katika ukumbi wa mikutano AICC.Picha zote na Filbert Rweyemamu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ana na ata endelea kuitwa Muwaji wa watoto wa Albino.Hiyo nidyo trade mark.Ni Brand inayo represent Uwaji wa Albino. Hata mafisadi wamechoka hawa taki kushirkiana au kuwa na husiano na biashara ya uchawi kuuaa watoto malika wa Albino.Hakuna kipya hapa.Ame jaribu ameshindwa ata endlea kuita muwaji wa watoto wa Albino.Tusonge mbele tuwache wauwaji wa Albino.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...