Moto mkubwa umezuka mchana wa leo katika moja ya nyumba zilizopo maeneo ya mji Mkongwe Zanzibar karibu maskani ya Lebanon na kusababisha hasara kubwa ambayo mpaka sasa bado tathimini yake haijafahamika.Pichani ni baadhi ya majirani wa nyumba hiyo wakionekana kusaidia kuuzima moto huo.
Baadhi ya wakazi nyumba hiyo wakiwa wamepanda juu ya paa la nyumba na kuifia kuangalia tu moto huo ukiendelea kuwaka mara baada ya zoezi la kuuzima kushindikana kutokana na namna miundombinu ilivyo katika eneo hilo.Picha na mdau Sabry Juma,Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hiyo ni moja ya nyumba zilizojengwa kinyemela maana nyumba za mjimkongwe hazina reinforced concrete.

    ReplyDelete
  2. hizi nyumba zimejengwa karibu karne moja na nusu nyingine zaidi sasa mdau hapo juu ukisema zilijengwa kinyemela nafikiri sio sahihi zilijengwa wakati hamna utaalamu wa kutosha katika fani ya ujenzi zanzibar kwa wakti huo kinyemela ni kwa makusudi hapa hakukuwepo na "deliberately efforts"kukimbia gharama etc hilo sahihisha katika ufahamu wako tafadhali.
    mdau zanzibar.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...