
Mtu aliyejitambulisha kuwa askari wa Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ),kambi ya Monduli,Arusha kwenye mkutano wa Chadema Mji mdogo Mererani,Simanjiro mkoani Manyara hivi karibuni akiwa ndani ya gari ya jeshi baada ya kutiwa nguvuni,



---
Yule mtu aliyedaiwa kuwa ni mwanajeshi wa JWTZ wa kikosi cha Monduli ametiwa mbaroni leo kwa ushirikiano wa jeshi la wananchi na Police.
Uchunguzi wa awali umebaini kuwa kijana huyu hakuwa mwanajeshi wa JWTZ kama alivyojitambulisha kwa waandishi wa habari, ila aliwahi kuwa JKT na akaacha. Imeelezwa kuwa amekuwa akivaa ngua hizo za jeshi kwa miaka mingi na wananchi wa Mererani wanamtambua kama mwanajeshi
Uchunguzi wa awali umebaini kuwa kijana huyu hakuwa mwanajeshi wa JWTZ kama alivyojitambulisha kwa waandishi wa habari, ila aliwahi kuwa JKT na akaacha. Imeelezwa kuwa amekuwa akivaa ngua hizo za jeshi kwa miaka mingi na wananchi wa Mererani wanamtambua kama mwanajeshi
How about his freedom of expression?
ReplyDeleteHow about his freedom of expression?
ReplyDeleteFreedom of expression within the context of law!
Freedom without self-discipline is lunacy!
Anony no1. hes being detained because he has been posing with official Army uniform whist not being one and that is illegal.
ReplyDeleteSasa amekamatwa na polisi au na JWTZ? Kwa hiyo ndiyo wanaenda kummaliza huko ndani. Ingekuwa ulaya angetendewa haki.
ReplyDeleteWhat if angepiga na mhesimiwa rais?
ReplyDeleteHuyu ni kibaka tu, active askari wa ngazi hiyo hawezi kuwa na ndevu kama huyu bwana.
ReplyDeleteWrong person!
ReplyDeleteAnon, Rais apige picha na kibaka ili iweje? Na ni ulaya gani ambako vibaka wanapita mitaani wakidai na kupewa haki ya wanajeshi?
ReplyDeleteAsionewe kabisa kisa kapiga picha na watu wa CHADEMA ana haki ya kupiga picha na mbunge wake kwa sababu mbunge ni kiongozi wa watu wote anaweza kupiga picha na mtu yoyote. Hata hivyo Mhe. Lema hakuvaa sare za chama, alama ya vidole viwili si mali ya CDM ni inshara ya amani duniani kote inatumika. Haya magwanda ya kijeshi si mali ya JWTZ pekee duniani kote yanavaliwa na watu wengi ye si wa kwanza kuyavaa, hasa huwa yanakuja na mitumba kuna mpaka fulana za mabaka mabaka ya jeshi. kama alijitambulisha yeye ni mwanajeshi na si mwanajeshi kuna ushahidi?
ReplyDeleteWako wengi jeshi kuweni makini kuna mwanajeshi mmoja alikuwa jwtz ameacha lakini mpaka Leo anatumia kitambulisho cha jeshi kunyanyasa wananchi mmulikeni huyo nae anaitwa Warburg tupelo usisikie kwa kitambulisho hicho hicho cha jeshi kana huyo jamaa
ReplyDeletemi hao wanaojiita makamanda tu! Hivi inahitaji uwe na PhD kujua kuwa si halali mtu asiekuwa askari kuvaa sare za askari? au inahitajka PhD kujua kuwa askari ktk guo za kazi haruhusiwi kujihusisha na siasa?
ReplyDeleteWamekaa kama viponzo na pozi zao za picha na huyo kibaka
Nenda kaombe kazi kuwa baunsa wa chadema. Kila kazi ina masharti yake na kwa vile umeyavunja, kwaheri na fika salama.
ReplyDeleteHebu nishike jembe nikalime mie......
ReplyDeletehuku ughaibuni tunajivalia magwanda kwa raha tuu.
ReplyDeleteMbona wenge BCBG hamkuwakamata walivyowaibia wimbo wa pentagoni?
majeshi ya nchi masikini yanaona hata nguo dili, wakati wenzao wanajenga mitambo ya kwenda Mars.
ReplyDeleteMwachani mjeshi feki akavune alichopanda lupango!
ReplyDeleteKWANI KUNA UBAYA GANI KUPIGA PICHA NA HUYU JAMAA?YEYE SIO MUNGU NI BINADAMU KAMA SISI ACHENI UBAGUZI.MDAU CHALTON.
ReplyDeleteJamani tuone maoni yenye hoja.....acheni mambo ya chama.....huyo ni kibaka....tapeli....nk.......wacha ashughulikiwe vizuri............ni ughaibuni gani watu wanavaa uniform za jeshi , police ama fire na kulanda landa barabarani...........hata sisi uko ughaibuni tumefika.....sheria inaheshimika kuliko kitu chochote...acheni siasa........
ReplyDeleteMbona mnamuonea jamaa kwa ajili ya kuvaa magwanda ya jeshi? Kosa lake mbona aliigharamu serikali chochote, bali muda wa serikali walioupoteza kufuatilia. Mie nilikuwa napinga ili la magwanda ya jeshi toka enzi serikali inawasumbua East Coast na King GK, hata kujadili ili ni kupoteza muda. Mbona Mafisadi na waizi wakubwa wa mali za Taifa inachukua miaka kibao kuchunguza na mpaka leo uchuguzi unaendelea? Na nyie mnaotetea serikali hamlalamiki kuhusu ilo ambalo ndilo linatukwaza ki kweli? Au ndiyo kila kitu afacho Malikia ni Mungu? NAOMBA TUAMKE WATANZANIA.
ReplyDeleteWote mnao muunga mkono vichwa vyenu vina matatizo kwenye kufikiria sana.Hivi kila mmoja akiwa ataachwa avae kama mwanajeshi itakuwaje? Na hao watu wanatumia sare za wanajeshi na kufanya uhalifu wakijulikanika kama wanajeshi alafu mnakuja kulalamikia wizi na ujambazi. Tafakari kwanza kabla ya kuzungumza sio unashabikia chama tuu. Ulaya watu wengi wastaarabu hata wakivaa kama hivyo hakuna matukio ya ujammbazi au wizi kwa kutumia sare za jeshi. Nchi itaendelea kwa kutumia akili zenu kikamilifu na si kushabikia upuuzi tuu
ReplyDeleteyaani huyu jamaa naona kwanza anaenda kuchezea kichapo kabla hawajamwachisha kazi
ReplyDelete