President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete bids farewell to his host FIFA president Joseph Sepp Blatter after visiting FIFA headquarters in Zurich, Switzerland at the invitation of Mr. Blatter
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete with FIFA President Joseph Sepp Blatter at FIFA headquarters in Zurich.
FIFA president Joseph Sepp Blatter shows President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete various World trophies on display at FIFA headquarters in Zurich, Switzerland.
kazi ipo, utadhani taifa stars nayo timu naona huyo president wa fifa anauliza kama nchi yetu kuna timu ha haaa... mkataa kwa si mtumwa. bongo polisi wanaua raia kwa vipigo.
ReplyDeleteBig up Tz and TFF president. You have shown the way
ReplyDeleteMuda wa Sepp Blatter umefika kwake kujiuzulu, kwani vitendo wanavyofanyiwa wachezaji weusi ulimwengu mzima ni vya aibu. Na sielewi kwa nini Raisi anajiusisha na huyo jamaa?!! Nadhani sasa ni muda wa Michel Platin kuwa mkuu wa FIFA kwani yeye anaelewa kukaa vizuri na watu weusi, ushaidi ukiwa alicheza miaka mingi na mchezaji hatari Tigana kwa kukaa kama marafiki na ndugu wa kweli. Blatter lazima aondoke kwani hata wazungu wenzake sasa wamemchoka kwa kukaa kimya kwenye sera za kibaguzi.
ReplyDeletemuheshimiwa wetu anajitahidi sana katika mchezo wa mpira wa miguu lakini hali ndio hivyo tena tutabakia kutembelea wajumba na viongozi wa mipira tu
ReplyDeletemheshimiwa kajitahidi kuhakikisha tunapata uwanja mkubwa na wa kisasa zaidi kajitahidi kutuletea timu mbali mbali
katuletea makombe mengi yanayogombaniwa huko uingereza katuletea kombe la dunia
katuletea timu ya brazil kucheza na taifa stars
mungu mbariki kiongozi wetu mheshimiwa kikwete
mungu ibariki tanzania na wajonge wake.